Matthew 7:13
“Ingieni kupitia mlango mwembamba, kwa maana lango ni pana na njia ni pana ielekeayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa kupitia lango hilo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Proverbs 7:27Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini, + 7:27 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.
Proverbs 16:25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 2 bali mwisho wake huelekeza mautini. 1
Isaiah 55:7Mtu mwovu na aiache njia yake, 2 na mtu mbaya na ayaache mawazo yake. 1 Yeye na amrudie Bwana, naye atamrehemu, 2 arudi kwa Mungu wetu, kwa kuwa atamsamehe bure kabisa. 1
Matthew 3:2“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.”
Matthew 18:2Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao.