The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 3 › Matthew 3:2

Matthew 3:2

“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And saying, Repent ye: for the kingdom of heaven is at hand.

In Context

1Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema,

3Huyu ndiye yule aliyenenwa habari zake na nabii Isaya aliposema: 1 “Sauti ya mtu aliaye huko nyikani, 1 ‘Tayarisheni njia kwa ajili ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”

Read all of Matthew 3

Cross References

Job 39:12Utaweza kumwamini akuletee nafaka yako nyumbani 2 kutoka shambani na kuikusanya kwenye sakafu yako ya kupuria? 1

Ezekiel 18:30“Kwa hiyo, ee nyumba ya Israeli, nitawahukumu, kila mmoja sawasawa na njia zake, asema Bwana Mwenyezi. Tubuni! Geukeni kutoka makosa yenu yote, ndipo dhambi haitakuwa anguko lenu.

Daniel 2:44“Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni atauweka ufalme ambao kamwe hautaangamizwa, wala hautaachiwa taifa jingine. Utaziponda zile falme zote na kuzikomesha, bali wenyewe utadumu milele.

Matthew 5:3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1

Matthew 5:19Kwa hiyo, yeyote atakayevunja mojawapo ya amri ndogo kuliko zote ya amri hizi, naye akawafundisha wengine kufanya hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika Ufalme wa Mbinguni, lakini yeyote azitendaye na kuzifundisha hizi amri ataitwa mkuu katika Ufalme wa Mbinguni.

Matthew 6:33Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 3:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 3:1Matthew 3Matthew 3:3 →