Matthew 7:17
Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even so every good tree bringeth forth good fruit; but a corrupt tree bringeth forth evil fruit.
In Context
16Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma?
18Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.
Cross References
Psalms 92:13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, 2 watastawi katika nyua za Mungu wetu. 1
Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1
Jeremiah 17:8Atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji 2 uenezao mizizi yake karibu na kijito cha maji. 1 Hauogopi wakati wa joto ujapo; 2 majani yake ni mabichi daima. 1 Hauna hofu katika mwaka wa ukame 2 na hautaacha kuzaa matunda.” 1
Luke 13:6Kisha Yesu akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini uliopandwa katika shamba lake la mizabibu, akaja ili kutafuta tini kwenye mti huo, lakini hakupata hata moja.
Ephesians 5:9(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),
Colossians 1:10Nasi tunaomba haya ili mpate kuishi maisha yanayostahili mbele za Bwana, na mpate kumpendeza kwa kila namna: mkizaa matunda kwa kila kazi njema, mkikua katika kumjua Mungu,