Matthew 7:18
Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A good tree cannot bring forth evil fruit, neither can a corrupt tree bring forth good fruit.
In Context
17Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya.
19Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.
Cross References
1 John 3:9Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu.