bible.software › Matthew › Matthew 8 › Matthew 8:10
Matthew 8:10
Yesu aliposikia maneno haya, alishangaa, akawaambia wale waliomfuata, “Amin, nawaambia, hata katika Israeli sijapata kuona yeyote mwenye imani kubwa namna hii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When Jesus heard it, he marvelled, and said to them that followed, Verily I say unto you, I have not found so great faith, no, not in Israel.
In Context
9Kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtu niliyewekwa chini ya mamlaka, nikiwa na askari chini yangu. Nikimwambia huyu, ‘Nenda,’ yeye huenda; na mwingine nikimwambia, ‘Njoo,’ yeye huja. Nikimwambia mtumishi wangu, ‘Fanya hivi,’ yeye hufanya.”
11Ninawaambia kwamba wengi watatoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaki na Yakobo katika Ufalme wa Mbinguni.
Read all of Matthew 8
Cross References
Mark 6:6Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani. 1 Yesu Awatuma Wale Kumi Na Wawili (Mathayo 10:5-15; Luka 9:1-6) Kisha Yesu akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.
Luke 7:9Yesu aliposikia maneno haya, alishangazwa naye sana. Akaugeukia ule umati wa watu uliokuwa unamfuata, akawaambia, “Sijaona imani kubwa namna hii hata katika Israeli.”
This Verse In Other Editions
Study Matthew 8:10