Matthew 8:9
Kwa kuwa mimi mwenyewe ni mtu niliyewekwa chini ya mamlaka, nikiwa na askari chini yangu. Nikimwambia huyu, ‘Nenda,’ yeye huenda; na mwingine nikimwambia, ‘Njoo,’ yeye huja. Nikimwambia mtumishi wangu, ‘Fanya hivi,’ yeye hufanya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 38:34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, 2 na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 1
Psalms 119:91Sheria zako zinadumu hadi leo, 2 kwa kuwa vitu vyote vinakutumikia. 1
Jeremiah 47:6“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana, 2 utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? 1 Rudi ndani ya ala yako; 2 acha na utulie.’ 1
Mark 4:39Akaamka, akaukemea ule upepo, akayaambia yale mawimbi, “Uwe kimya! Tulia!” Ule upepo ukatulia, kukawa shwari kabisa.
Luke 4:39Hivyo Yesu akamwinamia na kukemea ile homa, nayo ikamwacha. Akaamka saa ile ile, naye akaanza kuwahudumia.
Ephesians 6:5Ninyi watumwa, watiini hao walio mabwana zenu hapa duniani kwa heshima na kwa kutetemeka na kwa moyo mmoja, kama vile mnavyomtii Kristo.