Matthew 8:22
Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.” 1 Yesu Atuliza Dhoruba (Marko 4:35-41; Luka 8:22-25)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Jesus said unto him, Follow me; and let the dead bury their dead.
In Context
21Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”
23Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata.
Cross References
Matthew 9:9Yesu alipokuwa akienda kutoka huko, alimwona mtu mmoja jina lake Mathayo akiwa ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru. Yesu akamwambia, “Nifuate.” Mathayo akaondoka, akamfuata.
John 1:43Siku iliyofuata Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”
Ephesians 2:5hata tulipokuwa wafu kwa ajili ya makosa yetu, alitufanya tuwe hai pamoja na Kristo Yesu, yaani, mmeokolewa kwa neema.
Colossians 2:13Mlipokuwa wafu katika dhambi zenu na kutokutahiriwa katika asili yenu ya dhambi, Mungu aliwafanya mwe hai pamoja na Kristo. Alitusamehe dhambi zetu zote,