Matthew 8:30
Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was a good way off from them an herd of many swine feeding.
In Context
29Wakapiga kelele, “Una nini nasi, Mwana wa Mungu? Umekuja hapa kututesa kabla ya wakati ulioamriwa?”
31Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu, “Ukitutoa humu, turuhusu twende kwenye lile kundi la nguruwe.”
Cross References
Leviticus 11:7Naye nguruwe ingawa anazo kwato zilizogawanyika sehemu mbili, hacheui; huyo ni najisi kwenu.
Isaiah 65:3taifa ambalo daima hunikasirisha 2 machoni pangu, 1 wakitoa dhabihu katika bustani 2 na kufukiza uvumba juu ya madhabahu za matofali; 1
Mark 5:11Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima.
Luke 15:15Kwa hiyo akaenda akaajiriwa na mwenyeji mmoja wa nchi ile ambaye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.