Matthew 8:31
Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu, “Ukitutoa humu, turuhusu twende kwenye lile kundi la nguruwe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha.
Cross References
Mark 5:12Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.”
Revelation 12:12Kwa hiyo, furahini ninyi mbingu 2 na wote wakaao humo! 1 Lakini ole wenu nchi na bahari, 2 kwa maana huyo ibilisi ameshuka kwenu, 1 akiwa amejaa ghadhabu, 2 kwa sababu anajua ya kuwa 2 muda wake ni mfupi!”