Matthew 9:13
Nendeni mkajifunze maana ya maneno haya: ‘Nataka rehema, wala si dhabihu.’ Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.” 1 Yesu Aulizwa Kuhusu Kufunga (Marko 2:18-22; Luka 5:33-39)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1
Micah 6:6Nimjie Bwana na kitu gani na kusujudu 2 mbele za Mungu aliyetukuka? 1 Je, nije mbele zake na sadaka za kuteketezwa, 2 nije na ndama za mwaka mmoja? 1
Matthew 3:8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.
Matthew 11:20Ndipo Yesu akaanza kushutumu miji ambamo alifanya miujiza yake mingi kuliko kwingine, kwa maana watu wake hawakutubu.
Matthew 12:5Au hamjasoma katika Sheria kwamba siku ya Sabato makuhani huvunja sheria ya Sabato Hekaluni lakini hawahesabiwi kuwa na hatia?
Matthew 18:10“Angalia ili usimdharau mmojawapo wa hawa wadogo, kwa maana nawaambia, malaika wao mbinguni daima wanauona uso wa Baba yangu aliye mbinguni. [