Matthew 9:21
kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikigusa tu vazi lake, nitaponywa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For she said within herself, If I may but touch his garment, I shall be whole.
In Context
Cross References
Mark 5:26Mwanamke huyu alikuwa ameteseka sana kwa mikono ya matabibu wengi, na kutumia kila kitu alichokuwa nacho. Lakini badala ya kupona, hali yake ilizidi kuwa mbaya.
Acts 19:12hivi kwamba leso au vitambaa vilivyokuwa vimegusa mwili wa Paulo viliwekwa juu ya wagonjwa, nao wakapona magonjwa yao, na pepo wachafu wakawatoka.