Matthew 9:22
Yesu akageuka, naye alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya.” Naye yule mwanamke akapona kuanzia saa ile ile. 1 Yesu Amfufua Binti Wa Kiongozi Wa Sinagogi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikigusa tu vazi lake, nitaponywa.”
Cross References
Matthew 9:29Ndipo Yesu akagusa macho yao na kusema, “Iwe kwenu sawasawa na imani yenu.”
Matthew 17:18Yesu akamkemea yule pepo mchafu, akamtoka yule kijana, naye akapona saa ile ile.
Mark 10:52Yesu akamwambia, “Nenda zako, imani yako imekuponya.” Mara akapata kuona, akamfuata Yesu njiani.
Luke 8:48Basi Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”
Luke 18:42Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”
Acts 14:9Alimsikiliza Paulo alipokuwa akihubiri. Paulo alipomtazama akaona ana imani ya kuponywa.