Micah 4:5
Mataifa yote yanaweza kutembea 2 katika jina la miungu yao; 1 sisi tutatembea katika jina la Bwana 2 Mungu wetu milele na milele. 1 Mpango Wa Bwana
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 3:14Mungu akamwambia Mose, “ Mimi niko ambaye niko. Hivyo ndivyo utakavyowaambia Waisraeli: ‘ Mimi niko amenituma kwenu.’ ”
Joshua 24:15Lakini msipoona vyema kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia, kama ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ngʼambo Frati, au miungu ya Waamori, ambao mnakaa katika nchi yao. Lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia Bwana.”
2 Kings 17:34Mpaka leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu Bwana wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo Bwana aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli.
Psalms 48:14Kwa kuwa huyu Mungu ni Mungu wetu milele na milele; 2 atakuwa kiongozi wetu hata mwisho.
Psalms 145:1Nitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme, 2 nitalisifu jina lako milele na milele. 1
Isaiah 26:8Naam, Bwana, tukienenda katika sheria zako, 2 twakungojea wewe, 1 jina lako na sifa zako 2 ndizo shauku za mioyo yetu. 1