Micah 4:6
“Katika siku hiyo,” asema Bwana, 1 “nitawakusanya walemavu; 2 nitawakusanya walio uhamishoni 2 na wale niliowahuzunisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 38:17Kwa maana ninakaribia kuanguka, 2 na maumivu yangu yananiandama siku zote. 1
Isaiah 35:3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1
Jeremiah 3:18Katika siku hizo, nyumba ya Yuda itaungana na nyumba ya Israeli, wao kwa pamoja watakuja kutoka nchi ya kaskazini hadi nchi niliyowapa baba zenu kama urithi.
Jeremiah 31:8Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini 2 na kuwakusanya kutoka miisho ya dunia. 1 Miongoni mwao watakuwepo vipofu na viwete, 2 mama wajawazito na wenye utungu wa kuzaa. 2 Umati mkubwa wa watu utarudi. 1
Ezekiel 34:16Nitawaulizia kondoo waliopotea na kuwaleta waliotangatanga. Nitawafunga waliojeruhiwa na kuwatia nguvu walio dhaifu lakini wale waliojikinai na wenye nguvu nitawaangamiza. Nitalichunga kundi kwa haki.
Ezekiel 37:21kisha waambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitawatoa Waisraeli katika mataifa walikokuwa wamekwenda. Nitawakusanya popote walipo na kuwarudisha katika nchi yao wenyewe.