Mika 5:10
“Katika siku ile,” asema Bwana, 1 “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu 2 na kubomoa magari yenu ya vita. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako, 2 nao adui zako wote wataangamizwa.
11Nitaiangamiza miji ya nchi yenu 2 na kuziangusha chini ngome zenu zote. 1
Cross References
Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1
Jeremiah 3:23Hakika zile ghasia za kuabudu sanamu kwenye vilima 2 na milimani ni udanganyifu; 1 hakika katika Bwana, Mungu wetu, 2 uko wokovu wa Israeli. 1
Hosea 14:3Ashuru hawezi kutuokoa, 2 hatutapanda farasi wa vita. 1 Kamwe hatutasema tena ‘Miungu yetu’ 2 kwa kile ambacho mikono yetu wenyewe imetengeneza, 2 kwa kuwa kwako wewe yatima hupata huruma.” 1