Mika 5:11
Nitaiangamiza miji ya nchi yenu 2 na kuziangusha chini ngome zenu zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will cut off the cities of thy land, and throw down all thy strong holds:
In Context
12Nitaangamiza uchawi wenu 2 na hamtapiga tena ramli. 1
Cross References
Isaiah 2:6Umewatelekeza watu wako, 2 nyumba ya Yakobo. 1 Wamejaa ushirikina utokao Mashariki, 2 wanapiga ramli kama Wafilisti 2 na wanashikana mikono na wapagani. 1
Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1
Ezekiel 38:11Utasema, “Nitapigana vita na nchi ambayo vijiji vyake havina maboma. Nitawashambulia watu wanaoishi kwa amani na wasiotarajia vita: wote wanaishi bila maboma na bila malango na makomeo.
Amos 5:9yeye hufanya maangamizo kwenye ngome 2 na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa), 1