Mika 6:1
Sikiliza asemalo Bwana: 1 “Simama, tetea shauri lako mbele ya milima; 2 vilima na visikie lile unalotaka kusema. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:1Sikilizeni, enyi mbingu, nami nitasema; 2 sikia, ee nchi, maneno ya kinywa changu. 1
Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1
Isaiah 3:13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, 2 anasimama kuhukumu watu. 1
Jeremiah 22:29Ee nchi, nchi, nchi, 2 sikia neno la Bwana! 1
Ezekiel 36:1“Mwanadamu, itabirie milima ya Israeli na useme, ‘Ee milima ya Israeli, sikieni neno la Bwana.