The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 6 › Micah 6:2

Micah 6:2

Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana, 2 sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. 1 Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake; 2 anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear ye, O mountains, the LORD’S controversy, and ye strong foundations of the earth: for the LORD hath a controversy with his people, and he will plead with Israel.

In Context

1Sikiliza asemalo Bwana: 1 “Simama, tetea shauri lako mbele ya milima; 2 vilima na visikie lile unalotaka kusema. 1

3“Watu wangu, nimewatendea nini? 1 Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu. 1

Read all of Micah 6

Cross References

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

2 Samuel 22:16Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwake Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 1

Proverbs 8:29wakati aliiwekea bahari mpaka wake 2 ili maji yasivunje agizo lake, 1 na wakati aliweka misingi ya dunia. 2

Isaiah 3:13Bwana anachukua nafasi yake mahakamani, 2 anasimama kuhukumu watu. 1

Isaiah 43:26Tafakari mambo yaliyopita, 2 njoo na tuhojiane, 2 leta shauri lako uweze kupewa haki yako. 1

Jeremiah 2:29“Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu? 2 Ninyi nyote mmeniasi,” 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 6:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 6:1Micah 6Micah 6:3 →