Mika 6:8
Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu. 2 Bwana anataka nini kwako? 1 Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema, 2 na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako. 1 Hatia Na Adhabu Ya Israeli 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Sikiliza! Bwana anauita mji: 2 kulicha jina lako ni hekima: 2 “Tii hiyo fimbo na yeye aliyeiamuru. 1
Cross References
Genesis 5:22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Leviticus 26:41ambao ulinifanya niwe na uadui nao hata nikawapeleka katika nchi ya adui zao, wakati mioyo yao isiyotahiriwa itanyenyekea na kutubu dhambi yao,
Deuteronomy 27:10Mtii Bwana Mungu wako, na kufuata amri zake na maagizo ninayokupa leo.”
1 Samuel 12:23Kwa habari yangu, iwe mbali nami kutenda dhambi dhidi ya Bwana kwa kushindwa kuwaombea. Mimi nitawafundisha njia iliyo njema na ya kunyooka.
2 Chronicles 30:11Lakini, baadhi ya watu wa Asheri, Manase na Zabuloni, wakajinyenyekeza wakaja Yerusalemu.
2 Chronicles 33:12Katika dhiki yake akamsihi Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.