Nahum 2:1
Mshambuliaji anasogea dhidi yako, Ninawi. 2 Linda ngome, 2 chunga barabara, 2 jitieni nguvu wenyewe, 2 kusanya nguvu zako zote! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 50:14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, 2 timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 1
Isaiah 14:6ambayo kwa hasira waliyapiga mataifa 2 kwa mapigo yasiyo na kikomo, 1 nao kwa ghadhabu kali waliwatiisha mataifa 2 kwa jeuri pasipo huruma. 1
Isaiah 29:8kama vile mtu aliye na njaa aotavyo kuwa anakula, 2 lakini huamka, bado njaa yake ingalipo, 1 kama vile mtu mwenye kiu aotavyo kuwa anakunywa maji, 2 lakini huamka akiwa anazimia, akiwa bado angali ana kiu. 1 Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa makundi yote ya mataifa 2 yanayopigana dhidi ya Mlima Sayuni. 1
Jeremiah 25:9nitayaita mataifa yote ya kaskazini na mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babeli,” asema Bwana. “Nitawaleta waishambulie nchi hii na wakazi wake wote, na dhidi ya mataifa yote yanayowazunguka. Nitawaangamiza kabisa na kuwafanya kitu cha kuchukiwa na kudharauliwa, na kuwa magofu daima.
Jeremiah 50:23Tazama jinsi nyundo ya dunia yote 2 ilivyovunjika na kuharibika! 1 Tazama jinsi Babeli ilivyokuwa ukiwa 2 miongoni mwa mataifa! 1
Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1