Isaiah 29:8
kama vile mtu aliye na njaa aotavyo kuwa anakula, 2 lakini huamka, bado njaa yake ingalipo, 1 kama vile mtu mwenye kiu aotavyo kuwa anakunywa maji, 2 lakini huamka akiwa anazimia, akiwa bado angali ana kiu. 1 Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa makundi yote ya mataifa 2 yanayopigana dhidi ya Mlima Sayuni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 73:20Kama ndoto mtu aamkapo, 2 hivyo wakati uinukapo, Ee Bwana, 2 utawatowesha kama ndoto. 1
Isaiah 10:7Lakini hili silo analokusudia, 2 hili silo alilo nalo akilini; 1 kusudi lake ni kuangamiza, 2 kuyakomesha mataifa mengi. 1
Isaiah 41:12Ingawa utawatafuta adui zako, 2 hutawaona. 1 Wale wanaopigana vita dhidi yako 2 watakuwa kama vile si kitu kabisa. 1
Nahum 2:1Mshambuliaji anasogea dhidi yako, Ninawi. 2 Linda ngome, 2 chunga barabara, 2 jitieni nguvu wenyewe, 2 kusanya nguvu zako zote! 1