Nehemia 11:9
Yoeli mwana wa Zikri alikuwa afisa wao mkuu, naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa msimamizi juu ya Mtaa wa Pili katika mji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joel the son of Zichri was their overseer: and Judah the son of Senuah was second over the city.
In Context
8na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
10Kutoka makuhani: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,
Cross References
1 Chronicles 9:7Kwa Benyamini walikuwa: 2 Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Hodavia, mwana wa Hasenua; 2