Nehemia 12:8
Walawi walikuwa Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na pia Matania, ambaye pamoja na wenzake, alikuwa kiongozi wa nyimbo za shukrani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hawa walikuwa viongozi wa makuhani na wenzao wakati wa Yeshua.
9Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada.
Cross References
1 Chronicles 9:33Wale waliokuwa waimbaji, viongozi wa jamaa za Walawi, waliishi katika vyumba vya Hekalu, nao hawakufanya shughuli nyingine yoyote kwa sababu iliwapasa kuwajibika kwa kazi hiyo usiku na mchana.
Nehemiah 7:43Walawi: 1 wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) 2 74 4
Nehemiah 9:4Walawi wafuatao walikuwa wamesimama kwenye ngazi: Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebania, Buni, Sherebia, Bani na Kenani. Hawa walimlilia Bwana Mungu wao kwa sauti kubwa.
Nehemiah 10:10na wenzao: Shebania, 1 Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, 1
Nehemiah 11:22Afisa mkuu wa Walawi huko Yerusalemu alikuwa Uzi mwana wa Bani, mwana wa Hashabia, mwana wa Matania, mwana wa Mika. Uzi alikuwa mmoja wa wazao wa Asafu, waliokuwa waimbaji wenye kuwajibika kwa ajili ya huduma ya nyumba ya Mungu.