Nehemia 7:43
Walawi: 1 wazao wa Yeshua (kupitia Kadmieli kupitia jamaa ya Hodavia) 2 74 4
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The Levites: the children of Jeshua, of Kadmiel, and of the children of Hodevah, seventy and four.
In Context
44Waimbaji: 1 wazao wa Asafu 2 148 4
Cross References
Nehemiah 3:9Refaya mwana wa Huri, mtawala wa nusu ya wilaya ya Yerusalemu, alikarabati sehemu iliyofuatia.
Nehemiah 11:3Hawa ndio viongozi wa majimbo waliokuja kuishi Yerusalemu (baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi, watumishi wa Hekalu, + 11:3 Yaani Wanethini (pia 11:21). na wazao wa watumishi wa Solomoni waliendelea kuishi katika miji ya Yuda, kila mmoja katika milki yake mwenyewe katika miji mbalimbali,