Nehemia 13:31
Pia nilihakikisha kwamba matoleo ya kuni yaliletwa kwa wakati unaopaswa, na malimbuko kwa wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke, unitendee mema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Nehemiah 5:19Unikumbuke kwa fadhili, Ee Mungu wangu, kwa yote niliyofanya kwa ajili ya watu hawa.
Nehemiah 10:35“Pia tunachukua wajibu wa kuleta malimbuko ya mazao yetu na matunda ya kwanza ya kila mti wa matunda katika nyumba ya Bwana kila mwaka.
Nehemiah 13:14Ee Mungu wangu, unikumbuke kwa hili, wala usifute kile nilichokifanya kwa uaminifu kwa ajili ya nyumba ya Mungu wangu na kwa ajili ya huduma yake.
Psalms 25:7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu 2 wala njia zangu za uasi, 1 sawasawa na upendo wako unikumbuke, 2 kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. 1
Psalms 106:4Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako, 2 uwe msaada wangu unapowaokoa, 1