The Bible Software
bible.softwareNehemiahNehemiah 5 › Nehemiah 5:13

Nehemiah 5:13

Pia nikakungʼuta makunjo ya vazi langu na kusema, “Kila mtu ambaye hatatimiza ahadi hii, Mungu na amkungʼute hivi kutoka nyumba yake na katika mali zake. Basi mtu wa namna hiyo akungʼutiwe nje na aachwe bila kitu!” Waliposikia hili, mkutano wote ukasema, “Amen,” na wakamtukuza Bwana. Nao watu wakafanya kama walivyokuwa wameahidi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Also I shook my lap, and said, So God shake out every man from his house, and from his labour, that performeth not this promise, even thus be he shaken out, and emptied. And all the congregation said, Amen, and praised the LORD. And the people did according to this promise.

In Context

12Wakasema, “Tutawarudishia na hatutataka kitu chochote zaidi kutoka kwao. Tutafanya kama ulivyosema.” Kisha nikawaita makuhani na kuwafanya wakuu na maafisa kuapa kufanya kile walichoahidi.

14Zaidi ya hayo, kutoka mwaka wa ishirini wa Mfalme Artashasta, wakati nilipoteuliwa kuwa mtawala wao katika nchi ya Yuda, mpaka mwaka wake wa thelathini na mbili, yaani miaka kumi na miwili, mimi wala ndugu zangu hatukula chakula ambacho kwa kawaida hupewa watawala.

Read all of Nehemiah 5

Cross References

Deuteronomy 27:14Nao Walawi watawasomea watu wote wa Israeli kwa sauti kubwa:

1 Kings 11:29Karibu na wakati ule Yeroboamu alikuwa anatoka nje ya Yerusalemu, Ahiya nabii Mshiloni akakutana naye njiani, akiwa amevaa joho jipya. Hawa wawili walikuwa peke yao mashambani,

1 Chronicles 16:36Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Nao watu wote wakasema, “Amen,” na “Msifuni Bwana.”

Psalms 50:14Toa sadaka za shukrani kwa Mungu, 2 timiza nadhiri zako kwake Yeye Aliye Juu Sana, 1

Psalms 119:106Nimeapa na nimethibitisha, 2 kwamba nitafuata sheria zako za haki. 1

Ecclesiastes 5:5Ni afadhali usiweke nadhiri kuliko kuiweka na usiitimize.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nehemiah 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nehemiah 5:12Nehemiah 5Nehemiah 5:14 →