The Bible Software
bible.software › Nehemia › Nehemia 5 › Nehemia 5:6

Nehemia 5:6

Niliposikia kilio chao na malalamiko haya, nilikasirika sana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I was very angry when I heard their cry and these words.

In Context

5Ingawa sisi ni mwili na damu moja sawa na watu wa nchi yetu, na ijapo wana wetu ni wazuri kama wana wao, bado inatupasa kuwatoa wana wetu na binti zetu kwenye utumwa. Baadhi ya binti zetu wameshakuwa watumwa tayari, lakini hatuna uwezo wa kuwakomboa, kwa sababu mashamba yetu na mashamba ya mizabibu yetu ni mali ya wengine.”

7Nikayatafakari katika akili yangu, nikiwalaumu wakuu na maafisa. Nikawaambia, “Mnawaonea ndugu zenu kwa kuwatoza riba!” Basi nikaitisha mkutano mkubwa ili kuwashughulikia

Read all of Nehemia 5

Cross References

Exodus 11:8Maafisa hawa wako wote watanijia, wakisujudu mbele yangu, wakisema, ‘Ondoka, wewe pamoja na watu wako wote wanaokufuata!’ Baada ya haya nitaondoka.” Kisha Mose, huku akiwa amewaka hasira, akamwacha Farao.

Nehemiah 13:8Nilikasirika sana na nikavitupa nje vyombo vyote vya Tobia.

Psalms 119:53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu, 2 ambao wameacha sheria yako. 1

Ephesians 4:26Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nehemia 5:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nehemia 5:5Nehemia 5Nehemia 5:7 →