Nehemia 11:3
Hawa ndio viongozi wa majimbo waliokuja kuishi Yerusalemu (baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi, watumishi wa Hekalu, + 11:3 Yaani Wanethini (pia 11:21). na wazao wa watumishi wa Solomoni waliendelea kuishi katika miji ya Yuda, kila mmoja katika milki yake mwenyewe katika miji mbalimbali,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Watu waliwasifu wale wote waliojitolea kuishi Yerusalemu.
Cross References
Ezra 2:1Basi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake,
Ezra 2:55Wazao wa watumishi wa Solomoni: 1 wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda, 1
Nehemiah 7:6Hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake,
Nehemiah 7:39Makuhani: 1 wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 2 973 1
Nehemiah 7:46Watumishi wa Hekalu: + 7:46 Yaani Wanethini (pia 7:60, 73). 1 wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, 1
Nehemiah 7:73Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. 1 Ezra Asoma Sheria Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,