Nehemia 9:6
Wewe peke yako ndiwe Bwana. Uliziumba mbingu, hata mbingu za mbingu na jeshi lote la mbinguni, dunia na vyote vilivyo ndani yake, na pia bahari na vyote vilivyomo ndani yake. Huvipa vitu vyote uhai, nalo jeshi la mbinguni linakuabudu wewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Wewe ni Bwana Mungu uliyemchagua Abramu na kumtoa kutoka Uru ya Wakaldayo, nawe ukamwita Abrahamu.
Cross References
Genesis 1:1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
Genesis 2:1Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.
Deuteronomy 6:4Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja.
Deuteronomy 32:39“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1
1 Kings 22:19Mikaya akaendelea, “Kwa hiyo lisikie neno la Bwana: Nilimwona Bwana ameketi juu ya kiti chake cha enzi pamoja na jeshi lote la mbinguni likiwa limesimama kumzunguka upande wa kulia na wa kushoto.
2 Kings 19:19Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.” 1 Isaya Anatoa Unabii Wa Kuanguka Kwa Senakeribu (Isaya 37:21-38)