Numbers 1:10
kutoka wana wa Yosefu: 2 kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; 2 kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9kutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni; 1
11kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; 1
Cross References
Numbers 2:18Upande wa magharibi kutakuwepo na kambi ya makundi ya Efraimu chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Efraimu ni Elishama mwana wa Amihudi.
Numbers 7:48Siku ya saba Elishama mwana wa Amihudi, kiongozi wa watu wa Efraimu, alileta sadaka yake.
Numbers 10:22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao.