bible.software › Numbers › Numbers 7 › Numbers 7:48
Numbers 7:48
Siku ya saba Elishama mwana wa Amihudi, kiongozi wa watu wa Efraimu, alileta sadaka yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the seventh day Elishama the son of Ammihud, prince of the children of Ephraim, offered:
In Context
47maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Eliasafu mwana wa Deueli.
49Sadaka aliyoleta ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130, na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka;
Read all of Numbers 7
Cross References
Numbers 1:10kutoka wana wa Yosefu: 2 kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; 2 kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri; 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 7:48