bible.software › Numbers › Numbers 1 › Numbers 1:23
Numbers 1:23
Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Those that were numbered of them, even of the tribe of Simeon, were fifty and nine thousand and three hundred.
In Context
22Kutoka wazao wa Simeoni: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi walihesabiwa na kuorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
24Kutoka wazao wa Gadi: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Read all of Numbers 1
Cross References
Numbers 25:8akamfuata yule Mwisraeli ndani ya hema. Akawachoma mkuki wote wawili kwa pamoja, ukapenya kwenye mwili wa yule Mwisraeli na mwili wa yule mwanamke. Ndipo tauni iliyokuwepo dhidi ya Waisraeli ikakoma.
Numbers 26:14Hizi ndizo koo za Simeoni; walikuwa 22,200.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 1:23