Numbers 1:22
Kutoka wazao wa Simeoni: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi walihesabiwa na kuorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Idadi kutoka kabila la Reubeni ilikuwa watu 46,500. 1
23Idadi kutoka kabila la Simeoni walikuwa watu 59,300. 1
Cross References
Genesis 34:25Baada ya siku tatu, wakati wote wakiwa wangali katika maumivu, wana wawili wa Yakobo, yaani Simeoni na Lawi, ndugu zake Dina, wakachukua panga zao na kuvamia mji ambao haukutazamia vita, wakaua kila mwanaume.
Genesis 46:10Wana wa Simeoni ni: 2 Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 1
Numbers 2:12Kabila la Simeoni watapiga kambi karibu na Reubeni. Kiongozi wa watu wa Simeoni ni Shelumieli mwana wa Surishadai.
Revelation 7:7kutoka kabila la Simeoni 12,000, 1 kutoka kabila la Lawi 12,000, 1 kutoka kabila la Isakari 12,000, 1