bible.software › Numbers › Numbers 1 › Numbers 1:31
Numbers 1:31
Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. 4
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Those that were numbered of them, even of the tribe of Zebulun, were fifty and seven thousand and four hundred.
In Context
30Kutoka wazao wa Zabuloni: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
32Kutoka wana wa Yosefu: 1 Kutoka wazao wa Efraimu: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Read all of Numbers 1
Cross References
Numbers 2:8Kundi lake lina watu 57,400. 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 1:31