Numbers 1:32
Kutoka wana wa Yosefu: 1 Kutoka wazao wa Efraimu: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400. 4
33Idadi kutoka kabila la Efraimu walikuwa watu 40,500. 1
Cross References
Genesis 30:24Akamwita Yosefu + 30:24 Yosefu maana yake Yeye na aongeze, yaani Mungu na aniongezee. na kusema, “ Bwana na anipe mwana mwingine.” 1 Makundi Ya Yakobo Yaongezeka
Genesis 39:1Wakati huu Yosefu alikuwa amechukuliwa mpaka Misri. Mmisri aliyeitwa Potifa aliyekuwa mmojawapo wa maafisa wa Farao, mkuu wa ulinzi, akamnunua Yosefu kutoka kwa Waishmaeli waliomleta Misri.
Genesis 48:1Baada ya muda Yosefu akaambiwa kwamba, “Baba yako ni mgonjwa.” Kwa hiyo akawachukua wanawe wawili Manase na Efraimu, pamoja naye.
Genesis 49:22“Yosefu ni mzabibu uzaao, 2 mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, 2 ambao matawi yake hutanda ukutani. 1
Numbers 26:35Hawa walikuwa wazao wa Efraimu kwa koo zao: 1 kutoka kwa Shuthela, ukoo wa Washuthela; 1 kutoka kwa Bekeri, ukoo wa Wabekeri; 1 kutoka kwa Tahani, ukoo wa Watahani; 1