Hesabu 1:38
Kutoka wazao wa Dani: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Idadi kutoka kabila la Benyamini walikuwa watu 35,400. 1
39Idadi kutoka kabila la Dani walikuwa watu 62,700. 1
Cross References
Genesis 30:5Bilha akapata mimba, naye akamzalia Yakobo mwana.
Genesis 49:16“Dani atahukumu watu wake kwa haki 2 kama mmoja wa makabila ya Israeli. 1