bible.software › Numbers › Numbers 1 › Numbers 1:45
Numbers 1:45
Wanaume wote Waisraeli waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi la Israeli walihesabiwa kufuatana na jamaa zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So were all those that were numbered of the children of Israel, by the house of their fathers, from twenty years old and upward, all that were able to go forth to war in Israel;
In Context
44Hawa walikuwa wanaume waliohesabiwa na Mose, Aroni na viongozi kumi na wawili wa Israeli, kila mmoja akiwakilisha jamaa yake.
46Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.
Read all of Numbers 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 1:45