Numbers 10:13
Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they first took their journey according to the commandment of the LORD by the hand of Moses.
In Context
Cross References
Numbers 9:23Kwa amri ya Bwana walipiga kambi, na kwa amri ya Bwana waliondoka. Walitii amri ya Bwana, kufuatana na agizo lake kupitia Mose.