Numbers 10:14
Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Waliondoka kwa mara ya kwanza kwa agizo la Bwana kupitia kwa Mose.
15Nethaneli mwana wa Suari alikuwa kiongozi wa kabila la Isakari,
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1
Numbers 1:7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 1
Numbers 2:9Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka. 1
Numbers 26:19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.