Numbers 10:18
Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Ndipo Maskani iliposhushwa, nao wana wa Gershoni na wana wa Merari ambao waliibeba wakaondoka.
19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni,
Cross References
Numbers 1:5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: 1 “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 1
Numbers 2:16Wanaume wote walio katika kambi ya Reubeni, kufuatana na makundi yao, ni 151,450. Nao watakuwa nafasi ya pili kuondoka. 1
Numbers 26:5Wazao wa Reubeni, mwana mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa: 1 kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki; 1 kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 1