Hesabu 26:5
Wazao wa Reubeni, mwana mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa: 1 kutoka kwa Hanoki, ukoo wa Wahanoki; 1 kutoka kwa Palu, ukoo wa Wapalu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6kutoka kwa Hesroni, ukoo wa Wahesroni; 1 kutoka kwa Karmi, ukoo wa Wakarmi.
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Genesis 46:8Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), waliokwenda Misri: 1 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo. 1
Exodus 6:14Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: 1 Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hawa walikuwa ndio koo za Reubeni. 1
1 Chronicles 5:1Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Israeli (yeye alikuwa mzaliwa wa kwanza, lakini kwa kuwa alikinajisi kitanda cha baba yake, haki zake za mzaliwa wa kwanza walipewa wana wa Yosefu mwana wa Israeli. Hivyo hakuorodheshwa kwenye orodha ya ukoo wao kulingana na haki yake ya kuzaliwa.