bible.software › Numbers › Numbers 10 › Numbers 10:7
Numbers 10:7
Ili kukusanya kusanyiko, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But when the congregation is to be gathered together, ye shall blow, but ye shall not sound an alarm.
In Context
6Ukisikika mlio wa pili wa jinsi hiyo, walioko kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka.
8“Wana wa Aroni, makuhani, ndio watakaopiga hizo tarumbeta. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu na kwa vizazi vijavyo.
Read all of Numbers 10
Cross References
Joel 2:1Pigeni tarumbeta katika Sayuni; 2 pigeni mbiu katika mlima wangu mtakatifu. 1 Wote waishio katika nchi na watetemeke, 2 kwa kuwa siku ya Bwana inakuja. Iko karibu, 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 10:7