bible.software › Numbers › Numbers 11 › Numbers 11:30
Numbers 11:30
Ndipo Mose na wale wazee wa Israeli wakarudi kambini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses gat him into the camp, he and the elders of Israel.
In Context
29Lakini Mose akajibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Ningetamani watu wote wa Bwana wangekuwa manabii na kwamba Bwana angeweka Roho yake juu yao!”
31Kisha ukatokea upepo kutoka kwa Bwana, nao ukawaletea kware kutoka baharini. Ukawaangusha kwenye eneo lote linalozunguka kambi na kujaa ardhini kimo cha mita moja hivi kutoka ardhini kwenye eneo la umbali wa mwendo wa siku moja kila upande.
Read all of Numbers 11
This Verse In Other Editions
Study Numbers 11:30