Numbers 11:31
Kisha ukatokea upepo kutoka kwa Bwana, nao ukawaletea kware kutoka baharini. Ukawaangusha kwenye eneo lote linalozunguka kambi na kujaa ardhini kimo cha mita moja hivi kutoka ardhini kwenye eneo la umbali wa mwendo wa siku moja kila upande.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Ndipo Mose na wale wazee wa Israeli wakarudi kambini.
Cross References
Exodus 10:13Kwa hiyo Mose akanyoosha fimbo yake juu ya Misri, Bwana akauleta upepo wa mashariki ukavuma katika nchi yote mchana wote na usiku kucha, kufikia asubuhi upepo ukawa umeleta nzige.
Exodus 15:10Lakini ulipuliza kwa pumzi yako, 2 bahari ikawafunika. 1 Wakazama kama risasi 2 kwenye maji makuu. 1
Psalms 78:26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu 2 na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 1
Psalms 105:40Waliomba, naye akawaletea kware, 2 akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 1