The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 11 › Numbers 11:33

Numbers 11:33

Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And while the flesh was yet between their teeth, ere it was chewed, the wrath of the LORD was kindled against the people, and the LORD smote the people with a very great plague.

In Context

32Mchana kutwa na usiku kucha pamoja na siku nzima iliyofuata watu walitoka kwenda kuokota kware. Hakuna mtu yeyote aliyekusanya chini ya homeri kumi. + 11:32 Homeri 10 ni sawa na kilo 1,000. Kisha wakazianika kuzunguka kambi yote.

34Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Kibroth-Hataava, + 11:34 Kibroth-Hataava maana yake Makaburi ya wenye tamaa nyingi. kwa sababu huko ndiko walipowazika watu ambao walitamani sana chakula kingine.

Read all of Numbers 11

Cross References

Numbers 16:49Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora.

Numbers 25:9Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000.

Psalms 78:26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu 2 na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 1

Psalms 78:31hasira ya Mungu ikawaka juu yao, 2 akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, 2 akiwaangusha vijana wa Israeli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 11:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 11:32Numbers 11Numbers 11:34 →