Numbers 11:34
Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Kibroth-Hataava, + 11:34 Kibroth-Hataava maana yake Makaburi ya wenye tamaa nyingi. kwa sababu huko ndiko walipowazika watu ambao walitamani sana chakula kingine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko.
Cross References
Numbers 33:16Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava. 1
1 Corinthians 10:6Basi mambo haya yalitokea kama mifano ili kutuzuia tusiweke mioyo yetu katika mambo maovu kama wao walivyofanya.