bible.software › Numbers › Numbers 11 › Numbers 11:35
Numbers 11:35
Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the people journeyed from Kibroth-hattaavah unto Hazeroth; and abode at Hazeroth.
In Context
34Kwa hiyo mahali hapo pakaitwa Kibroth-Hataava, + 11:34 Kibroth-Hataava maana yake Makaburi ya wenye tamaa nyingi. kwa sababu huko ndiko walipowazika watu ambao walitamani sana chakula kingine.
Read all of Numbers 11
Cross References
Numbers 33:17Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi. 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 11:35