Numbers 11:4
Umati wa watu wenye zogo waliokuwa miongoni mwao walitamani sana chakula kingine, Waisraeli wakaanza kulia tena na kusema, “Laiti tungekuwa na nyama tule!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 16:3Waisraeli wakawaambia, “Laiti tungelikufa kwa mkono wa Bwana huko Misri! Huko tuliketi tukizunguka masufuria ya nyama na tukala vyakula tulivyovitaka, lakini ninyi mmetuleta huku jangwani ili mpate kuua mkutano huu wote kwa njaa.”
Leviticus 24:10Basi mwana wa mama Mwisraeli na baba Mmisri alikwenda miongoni mwa Waisraeli, nayo mapigano yakatokea ndani ya kambi kati yake na Mwisraeli.
Numbers 14:1Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu.
Nehemiah 13:3Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni.
Psalms 78:20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, 2 vijito vikatiririka maji mengi. 1 Lakini je, aweza kutupa chakula pia? 2 Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?” 1
Romans 13:14Bali jivikeni Bwana Yesu Kristo, wala msifikiri jinsi mtakavyotimiza tamaa za miili yenu yenye asili ya dhambi.