Nehemiah 13:3
Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 11:4Umati wa watu wenye zogo waliokuwa miongoni mwao walitamani sana chakula kingine, Waisraeli wakaanza kulia tena na kusema, “Laiti tungekuwa na nyama tule!
Nehemiah 9:2Wale wa uzao wa Israeli walijitenga na wageni wote. Wakasimama mahali pao, na kuungama dhambi zao na uovu wa baba zao.
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1
Romans 3:20Kwa hiyo hakuna binadamu hata mmoja atakayehesabiwa haki mbele za Mungu kwa matendo ya sheria, kwa maana sheria hutufanya tuitambue dhambi. 1 Haki Kwa Njia Ya Imani