bible.software › Numbers › Numbers 11 › Numbers 11:9
Numbers 11:9
Umande ulipoanguka kambini wakati wa usiku, pia mana ilianguka pamoja nao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the dew fell upon the camp in the night, the manna fell upon it.
In Context
8Hao watu walikwenda kukusanya, kisha waliisaga kwa mawe ya kusagia ya mkono au kuitwanga kwenye vinu. Waliipika vyunguni au kutengeneza maandazi. Ladha yake ilikuwa kama kitu kilichotengenezwa kwa mafuta ya zeituni.
10Mose akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. Bwana akakasirika mno, naye Mose akafadhaika.
Read all of Numbers 11
Cross References
Exodus 16:13Jioni ile kware wakaja wakaifunika kambi na asubuhi kulikuwa na tabaka la umande kuzunguka kambi.
Psalms 78:23Hata hivyo alitoa amri kwa anga zilizo juu 2 na kufungua milango ya mbingu, 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 11:9